Mzuri sana labda yako. Watoto hawajambo?
Ahsante sana na uwe na siku njema.
2006-10-23 23:50:03
·
answer #1
·
answered by kenyanmartin2000 2
·
0⤊
0⤋
Nzuri asante! Nimefurahi sana kusoma Kiswahili katika Yahoo! Je Ulijifunza Kiswahili wapi? Unatoka Afrika Mashariki? Mimi ni mzungu - ninatoka Uningereza lakini nilikaa Tanzania na jifunza kiswahili. Labda watu wote wanaomba kuzumgumza kidogo?
2006-10-26 11:34:59
·
answer #2
·
answered by CP 1
·
0⤊
0⤋
Shouldn't it be habari gani? Anyway.... Mimi ni nzuri. Ninakwenda shuleni kusoma Kiingereza na sayansi. Ya kuonana!
2006-10-24 11:44:07
·
answer #3
·
answered by Courtney B 2
·
0⤊
0⤋
Nzuri sana. Wewe je? Hujambo? uko wapi? Sijambo na nipo nahangaika na maisha kama mwananchi yeyote wa kawaida. Tuzidi kuwasiliana
2006-10-25 00:26:39
·
answer #4
·
answered by Mwajuma 2
·
0⤊
0⤋
Furahia Maisha Yako, good blog..
2006-10-22 12:47:19
·
answer #5
·
answered by Stevie t 3
·
0⤊
0⤋
Fit! Na wewe? Uko wapi? Nakupenda kusema kiswahili na kujifunza zaidi! Nisaidia!
2006-10-23 15:54:49
·
answer #6
·
answered by N.FromVT 3
·
0⤊
0⤋
nzuri sana,na wewe mambo yako ni aje
2006-10-26 03:47:32
·
answer #7
·
answered by peaches an cream 3
·
0⤊
0⤋
Mimi mzuri sana, asante sana, na taka jewa kama wewe mzuri?
2006-10-25 16:31:38
·
answer #8
·
answered by hakuna matata 4
·
0⤊
0⤋
Rudi numbani! Kwaheri!
2006-10-23 11:28:57
·
answer #9
·
answered by Know-it-all 4
·
0⤊
0⤋
fresh sana na we uko aje?
2006-10-24 09:00:35
·
answer #10
·
answered by Martinoluoch 2
·
1⤊
0⤋